Home About Contact. Jumatano, 29 Aprili Bendi yako uipendayo ya Dar Modern Taarab, leo wameingia mkataba na kampuni ya On point solution ya jijini Dar!

Taarabu Ndugu Wa Mume Salha Download Mp3

Katika makubaliano hayo walikuwepo waimbaji wa bendi hiyo na wageni waalikwa kadhaa! Kuanzia sasa Dar modern wanakujua na style yao mpya kabisa chini ya udhamini huo wa On point solution, na watatambulika kama Dar Modern Taarab au "Wana Modenika". Unknown 0. Jumapili, 26 Aprili Makala ya wiki Marcadores: Makala ya wiki.

Alhamisi, 23 Aprili Bendi ya Five star's modern taarab chini ya mkurugenzi Ally J inatarajia kuingia Location kesho kumalizia kabisa albam yao ya "kichambo kinakuhusu" ambayo ina takribani nyimbo tano. Akizungumza na mtandao huu mkurugenzi huyo alisema anamshukuru mungu kwani wamekuwa wakiendelea vyema yeye na wasanii wake, hakuna tatizo lolote na watakapomaliza shooting ya nyimbo zao wanatarajia kueleke nyanda za juu kusini mikoa ya iringa na mbeya, watakuwa na show takribani nne, baada ya hapo watarejea Dar kabla ya kuelekea mtwara na lindi kwa maonyesho zaidi, Pia alisema kuwa Bobo mautundu ambae alifanya video ya makavu live ya Hanifa maulid ndie ambae ataifanya kazi hiyo mpya ya five stars kwa albam ya kichambo kinakuhusu.

Kichambo kinakuhusu - Mariam B. Big up my dear - Mussa kijoti. Ubaya hauna soko - Mwanaida Ramadhan Mtandao wa ubuyuwataarabutz. Jumatano, 22 Aprili Jumanne, 21 Aprili Bendi yako uipendayo ya Gusagusa min bendi usiku wa jana jumanne imekwea pipa kuelekea uingereza kwa ajili ya kufanya show mbili kali na matata sana!

Akizungumza na mtandao huu makini muandaaji wa show hizo mbili Didas Fashion mtanzania mwenye makazi yake nchini uingereza amesema maandalizi yote tayari yamekamilika na kilichokuwa kinasubiliwa ni kufika kwa Gusagusa min bendi nchini UK ili raha ziendelee.

Nae mkurugenzi wa bendi hiyo Hassan Farouk alisema anashukuru kuweza kufanikiwa kwenda kuipeperusha vyema bendera ya Gusagusa nchini uingereza na amewaomba wadau na wapenzi wa bendi hiyo waishio nchini humo kujitokeza kwa wingi katika maonyesho yao kwani wamejiandaa vyema na watapata kitu roho inapenda. Jumatatu, 20 Aprili Siku ya jana jumapili katika kipindi cha "ladha tamu" ndani ya E fm redio Prince mwinyijuma muumin au kocha wa dunia aliweka wazi yaliyopo moyoni mwake na kufanya umma wa wasikilizaji wa redio hiyo kuumizwa sana na maneno ya uchungu aliyokuwa akiyasema Muumin.

Sipendi sana kukumbukia hili tatizo maana limeshapita nami sasa nina mke mwingine ila imenilazimu kuweka wazi sababu wadau na wapenzi wangu walikuwa wananiuliza sana nini sababu iliyopelekea mimi kuyumba kimuziki mpaka kuwa kimya kidogo!. Vile vile nipo chini ya meneja wangu mpya Kais mussa kais au ukipenda muite mzee wa fitina mjini, huyu jamaa anajua sana kusimamia bendi au wasanii, kupitia yeye naamini wazi hakuna atakae nisogelea kimuziki hapa ni mbele kwa mbele tu, walioanza zamani nawaambia pisha mbele Muumin anakuja, sibahatishi nakuja kiupinzani zaidi.

Jumapili, 19 Aprili Jumamosi, 18 Aprili Ule wakati uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa wa Mwinyijuma muumin kocha wa dunia kuweka bayana yale yanayo msibu katika mtima wake kwa siku nyingi umewadia, ni siku ya kesho jumapili ndani ya E FM REDIO katika kipindi cha taarab kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa saba mchana.

Akizungumza kwa kujiamini sana Muumin alisema siku ya kesho ndio jamii itajuwa nini na naanisha katika hili la kuweka wazi nilichonacho moyoni, ni muda mrefu sana nimekuwa nikisumbuka juu ya hili jambo, ila yoyote kwa yote nawaomba wadau wangu tuwe sote ndani ya E FM kesho mapema saa nne asubuhi nitafunguka kila kitu.

Muumin anataka kuzungumza nini, mbona ameonekana ni msiri sana juu ya jambo hilo? Asia Idarous alisema onyesho hilo pia litakuwa ni la kila siku ya Jumapili katika ukumbi huo wa Hugo house, eneo lenye mazingira safi huku kiingilio kikiwa cha kawaida cha sh 5, tu!. Tumeamuakuhamisha onyesho hilo tokea safari canival kawe mpaka hapa Hugo house kinondoni kutokana maombi ya wateja walio wengi. Ijumaa, 17 Aprili Bendi inayokuja kwa kasi ya ajabu kwa sasa katika tasnia ya taarab nchini, Ogopa Kopa Classic chini yake malkia wa taarab bibie Khadija Omary Kopa siku ya leo ijumaa wanatarajia kushusha burudani ya nguvu katika ukumbi wa Shangilila Perugina uliopo mkoano Dodoma.

Akizungumza na mtandao huu muimbaji wa bendi hiyo ambae pia ni mtoto wa malkia wa mipasho nchini anaefahamika kwa jina la kisanii Black Kopa alisema bendi imeondoka leo asubuhi hapo Dar na tutakuwa na show tatu, ya kwanza ndio hiyo ya Dodoma mjini ambayo itakuwa leo ijumaa, ya pili na ya tatu zitafanyika singida na kondoa, baada ya hapo jumatatu ijayo bendi itarejea Dar ili kuendelea na maonyesho yetu ya kila wiki kama kawaida.

Ogopa kopa ni bendi inayosumbua vichwa vya wapenzi kwa sasa kwani ubora ulioonyeshwa na wasanii wake kwa kipindi kidogo tu umewafanya kuvutiwa nao na kuhitaji kuwaona "LIVE" katika show zao wanazofanya. Khadija Omary Kopa kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya ndani ya bendi hiyo uitwao Mamaa mukubwa!.

Jumatano, 15 Aprili Akizungumza na mtandao huu makini Ally J alisema siku hiyo anatarajia kushusha kikosi kizima cha bendi yake kilichosheheni waimbaji wenye vipaji halisi kama vile Salha wa Hammer, Mariam B.Glosbe English. Cookies help us deliver our services.

By using our services, you agree to our use of cookies. Got it. Swahili English. Swahili - English. Ndugu yangu ana akaunti ya Twitter. Mweleze ndugu au rafiki yako kuhusu hisia zako. Wote huitana ndugu na dada, kama vile sisi huitana komredi.

All of them call one another brother and sister, as we call one another comrade.

Kathi Mela Kathi Album Mp3 Song Download Masstamilan Download Mp3

Zitatiririka kama matokeo asili ya upendo wetu kwa ndugu na dada zetu. Monica, Mama ya watoto wanne, anapendekeza kuwashughulisha watoto wakubwa kiasi katika kuwasaidia ndugu zao wadogo kujitayarisha panapowezekana. Monica, a mother of four, recommends getting older children involved in helping younger siblings prepare whenever possible. Marafiki zangu wapendwa na ndugu zangu katika ukuhani, inua mahali uliposimama!

Na Alma pia aliwaambia juu ya akuongoka kwake, na Amoni na Haruni, na ndugu zake. And Alma also related unto them his aconversion, with Ammon and Aaron, and his brethren. Ona jinsi yule ndugu mkubwa alivyotenda wakati ndugu yake mdogo aliporudi nyumbani.

Look closely at the way the older brother reacted when his younger brother returned home. Mbali na wazazi wangu, nilikuwa na dada wawili wakubwa na ndugu na dada mdogo. Our family consisted of my parents, my younger brother and sister, and my two older sisters.

Alishutumu kutokudhibitiwa kwa habari kama chanzo cha hasira ya ndugu hao. He blamed the unregulated media information as source of anger of the relatives. Baada ya miezi kadhaa, aliwaachia ndugu zake wadogo usimamizi wa shamba lao na kuanza upainia. After some months he turned the farm over to one of his younger brothers and began to pioneer.

Avoid using with P, use sibling P instead. Similar phrases in dictionary Swahili English. Ikifanya hivyo, ndugu zetu wanaweza kuwa na haki sawa na dini zilizo kubwa nchini Austria. Showing page 1. Found sentences matching phrase "ndugu". Found in 7 ms. Translation memories are created by human, but computer aligned, which might cause mistakes.

They come from many sources and are not checked. Be warned.Kiatu Media. Home Mawasiliano Download Nyimbo. Fatma Yasin Wimbi la wasanii kuondoka ndani ya bendi ya Kings Modern Taarabu limeendelea baada ya msaani mwingine Fatma Yasini nae kuondoka na kujiunga katika bendi mpya iitwayo Rocky City Modern Taarabu. Akiongea na mwandishi wa taarabuzetu. Share to Twitter Share to Facebook. Malkia wa Mipasho TZ. Khadija O. Malkia huyo ameahidi kushusha burudani ya nguvu kwa mashabiki wake ambao walikuwa wamemkosa kwa muda mrefu sana.

Baada ya kumaliza show hiyo, siku ya tarehe 3 mwezi wa 11 Khadija anatarajia kufanya show maalum kwa ajiri yake na wakazi wa Dar kwa ujumla ndani ya ukumbi wa DAR LIVE, hapo pia kutapita harambee kwa ajiri yake Khadija.

Waimbaji hawa nyota jana walionekana ndani ya Lango la jiji Magomeni katika show ya Supershine Modern Taarabu na kuimba nyimbo 2. Hasna Masauti akiimba "Huliwezi Bifu" na Hassan Vocha yeye akiimba "Mazoea Yanatabu" jambo lilillotafsiriwa na wapenzi kama ni dongo kwa Boss wao kwa kile wanachodai waimbaji hao.

Alisikika kiongozi mmoja wa Supershine akisema atafanya mazungumzo haraka na vijana hao ili kujua kama wana mkataba pale G5 au hawana ili waweze kuwachukua kuongeza nguvu katika kikosi chao. Wasanii wa Coast Modern Taarabu. Kwa taarifa fupi tulizozipata ni kwamba, Fundi mitambo wa Coast Modern Taarabu anayeitwa kwa jina la Isiaka au maalufu Bamchawi afariki dunia jana jumatatu. Kwa taarifa zaidi tutakuletea hapa tunazidi kufuatilia zaidi.

Hadija Kopa Malkia wa Mipasho. Hadija Omary Kopa, au malkia wa mipasho nchini Tanzania, ilibidi afanye show siku ya tarehe 19 mwezi huu ndani ya ukumbi wa DAR LIVE lakini kutokana na khali yake na maandalizi mengine makubwa imelazimika kusogezwa mbele mpaka tarehe 3 ya mwezi wa 11 na siku hiyo pamoja na burudani toka kwa malkia huyo lakini pia utapitishwa mchango kwa ajiri ya malkia huyo ili pesa itakayopatikana aweze kuanzia maisha yake mapya baada ya kutoka kufiwa na mumewe.

Amour Salehe a. Yule mpiga kinanda alietangazwa kwa mbwembwe na majigambo mengi na bendi ya G5 kwamba wamemsainisha mkataba akitokea Oman amewaacha solemba na kutimka zake tena Oman kuendelea na maisha yake ya kimuziki.

Taarabu zetu ilipata nyeti hizo: "Mimi nilijua tu zungu lazima awalize G5, yule si mkaaji hapa nchini" alisikika shabiki mmoja wa bendi hiyo katika Bonanza la kila jumapili ambalo huwa linafanyika pale katika ukumbi wa ikweta mtoni kwa azizi ally.

Siku kadhaa zilizopita mkurugenzi wa G5 Modern Taarabu Hamisi Slim alijinasibu kwamba amemchukua Zungu ili kuimalisha kikosi chake, lakini leo Zungu hayupo tena. Hao ndio wasanii wa Taarabu!.

ndugu mume taarabu

Bi Afua Suleiman. Kila kukicha katika tasnia ya taarabu kumekuwa kukiibuka bendi mpya mbalimbali na yote ni katika kujitafutia ridhiki na kutoa burudani kwa wapenzi, Lakini kumeibuka kamtindo kadogo kabaya sana! Ally J. Bendi ya 5 Star's imefanikiwa kumaliza kufanya shooting nyimbo zote zilizopo katika Albam yae ya Ukurasa Mpya!. Akizungumza na blog hii Ally J alisema tunamshukuru mungu tumemaliza kufanya video na kazi iliyobaki ni kwa wapenzi wetu kununua video zetu original na sio feki ili kutusaidia sisi wasanii.

Mgeni Kisoda. Yule mpiga kinanda maarufu ambae takribani mwezi mmoja umepita tokea aachane na bendi ya Jahazi Modern Taarabu Mgeni Kisoda ametimkia Muscat kwenda kupiga muziki wa Hotel.

Akizungumza na mwandishi wa blog hii rafiki wa karibu wa Mgeni Kisoda na mmiliki wa bendi ya Taarabu iitwayo "Raha Original" yenye maskani yake Magomeni Dar es Salaam "Bwana Ostaadh" alisema Mgeni ameondoka na muimbaji wa kiume aliefahamika kwa jina moja tu la Eddy pamoja na mwanamke mmoja jina halikuweza kufahamika, huko wamekwenda kupiga muziki wa Hotel, kwani hata mimi pia huwa naenda mala moja moja!. Akizungumza na taarabuzetu. Kwa upande wa Gusagusa Min Bend wenyewe wamesema hivi karibuni wataiachia video hiyo katika Televisheni mbalimbali hapa nchini na nchi za jirani ili wapenzi wapate burudani, na pia katika Blog hii ya Taarabu Zetu itakuwepo Stay Tuned!!!

Mosi Suleiman. Muimbaji mahiri wa Taarabu nchini Mosi Suleiman ambae juzi tu alitambulisha wimbo wake mpya wa bongo fleva, ameuambia mtandao huu kwamba yeye kwa sasa sio msanii wa 5 Stars na hana bendi yoyote ameamua kupumzika kwanza. Mosi suleimani alikuwa akizungumza na mtandao huu wa taarabuzetu. Hemedy Omary alisema kwamba kuna pesa ndogo aliyopewa na bosi huyo, yupo tayari kumrejeshea bila wasiwasi ili wamalizane kabisa!.

Muimbaji wa Kings, Aisha Othman Vuvuzela. Yule muimbaji wakutegemewa wa bendi ya Kings Modern Taarabu, Aisha Othman Vuvuzela jana jumamosi mida ya saa 10 za jioni alionekana katika kambi ya bendi ya 5 Stars Mtoni kwa Azizi Ally Dar es Salaam akiwa na viongozi wakubwa wa bendi hiyo.Rose, mwenzio nacheka kwa uchungu, niliolewa mume wangu baada ya miaka sita ya ndoa yetu mume wangu akanitaarifu ya kwamba anataka kuoa mke wa pili, japo iliniuma sikushangaa sana kwani dini yetu inaruhusu kuoa wake hata wanne ikiwa tu utaomba ruhusa kwa mke wa kwanza naye akaridhia, basi kwakuwa mume wangu alisharidhia kuoa na kampata wa kumuoa sikuona kwanini nimkatalie nikamwambia amwambie tu huyu mkewe akija tuheshimiane na kila mtu ajuwe mipaka yake.

Pole dada kwa majaribu. Ila mshukuru Mungu sana kwani anakupenda saaana. Hata kama dini zinaruhusu wake wengi tujue kuwa hawa waume zetu wakati mwingine wanaenda kuleta vyangu doa ndani kisa dini inaruhusu.

Ili liwe funzo. Hata kama unaoa wa pili basi awe dada na heshima zake si kuokoteza malaya. Home My Award Design contact us. Email This BlogThis! Newer Post Older Post Home. Anonymous August 25, at PM. Anonymous August 26, at AM. Anonymous August 27, at PM. Anonymous August 28, at AM. Subscribe to: Post Comments Atom.

Social Profiles. Popular Tags Blog Archives like this Page. Msaada Tutani I hope umzima nimeipenda blog yako kwani inakuwezasha mtu kutoa mambo yako ya ndani ambayo kwa jamii wanayaona ni matusi lakini kwa ukweli Usafi wa uke! Kuna shosti leo kanitumia hii na wanawake wengine wote humu. Tanzania Blog Awards.

Powered by Blogger. Follow this blog. My Blog List. Meaty Snacks. Total Pageviews. Subscribe To Posts Atom. Comments Atom.Dada Violet, na wadau wote wa blog yako, nawaomba mmwombee baba yangu, maana amekuwa na tabia za ajabu sana kwa mama, zamani hakuwa hivyo ila tumefanya uchunguzi ni kwanini amebadilika gafla hivi, tumegundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa nje.

Siku hizi haachi pesa ya chakula nyumbani yaani, matatizo kila kukicha, ugomvi kila siku ugomvi hauishi na siku nyingine hudiriki kuwafungia nje mama pamoja na wadogo zangu.

ndugu mume taarabu

Jamani kuna kitu kinasumbuwa familia nyingi sana, nakutana na watu wengi hasa wanawake nikiwa salon na sehemu zingine, wanalalamika sana kuhusu waume zao kutokutulia nyumbani siku za weekend, unakuta mtu yuko busy kuanzia jumatatu hadi jumapili, kazi na yeye, yeye nakazi, sasa sijui ndio kazi kweli au ndio kazzzzzziiiiiiiiiiiii.

Wapenzi wa Blog hii nzuri. Mimi ni mwanamke wa miaka 33, nina watoto 2 wa kike na wakiume. Mimi nilikuwa na boyfriend wangu na yeye alikuwa na girl friend wake, kwa kuwa tulipendana tukakubaliana kila mmoja wetu avunje mahusiano na mwenzie ili tuwe huru kufunga ndoa ambapo wote tulikubaliana na kuacha na hizo dates zetu na kuconcetrate na maamuzi yetu mapya.

Mwaka mwanzoni nikawa nimepata mimba ya mtoto wetu wa kwanza. Tukapanga taratibu zote za mahali na hatimaye akaja kwetu akatoa mahali kwa sherehe kubwa sana. Baada ya Mahali tulipanga siku ya harusi. Basi mume huyu aliendelea kunihudumia kwa hali na mali na kusema kuwa nisijali ananipenda sana na ndio maana kanitolea mahali. Tuliendelea hivyo mpaka tukaanza kuishi wote na kujenga pamoja. Mpaka hapa ninaongea na wewe bwana huyu anaishi kwa mitara.

Kitendo hichi kimekuwa kero sana kwangu kiasi naona kama siishi kwa amani. Huyu bwana ananiregard mimi kama mke mdogo kwake cos nina 33 na yeye 43 huyo mama ana miaka 42years. Kwa hiyo mimi ndio nachukuliwa kama mke mdogo. Hayo ni machache sana nisiwachoshe. Wapendwa kwa busara zenu kama za mfalme Suleiman naomba mnishauri kama huyu ni mume wangu au ni wa mwenzangu? Huwa nasikia wanakwenda kwenye baadhi ya sherehe pamoja, inaniuma sana sina furaha hata kidogo, kwani alivunja makubaliano yetu na kunidanganya, ila kwakuwa nilimpenda niliamini kuwa nae atavunja mahusiano ya nje kama nilivyofanya mimi.

Dada violet, pole na kazi, nahitji msaada wako kama utaweza kunisaidia nitakushukuru sana, pia kama inawezekana weka kwenye blog yako ila usinitaje jina ili niweze kupata ushauri zaidi.

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, niko Zanzibar, tangu niwe mwali hadi leo nimekutana na wanaume wawili, mmoja aliniacha, kwa sababu ambazo hata sizielewi Mpaka leo hii na alinitamkia kabisa sina sababu ila tu sikutaki tena, iliniuma sana nilitamani hata kujiua, ukizingatia niliweka nadhiri kuwa atakaenibikiri ndie atakaenioa, lakini akawa ameshapotosha ndoto zangu.

Baada ya muda nikiwa chuo, nilipata boyfriend mwingine, ambae niko nae hadi sasa, cha ajabu kila ninapokutana nae, tukimaliza tu! Huwa naumwa sana hadi nameza dawa, yani akishaniambia kesho tutafanya mimi nitalala nawaza usiku kucha, Napata maumivu makali sana huku chini na maeneo ya kwenye kinena panauma sana, huwa naumia hata saa zima na jasho linanitoka kabisa. Huyu boyfriend wangu hadi anaogopa kunigusa, sasa nawasiwasi asije akashawishika kuwa na mwanamke mwingine, nampenda sana, na hata kwetu wameshamjua bado kuja rasmi tu!

Aliwahi kunichukuwa kunipeleka hospitali moja huku huku Zanzibar, dada violet nilipimwa kila kitu, lakini hakukuwa na tatizo, hata daktari alishangaa, yani alichukuwa vipimo vyote, lakini hakukuwa na tatizo, siku ingine tena tulisafiri nae kwenda Kigoma, tulipofika tulilala pamoja hotelini, alivyonifanya tu! Sikulala hadi kunakucha, kiuno kinauma hadi miguu, asubuhi alinipeleka hospitali kule kule kigoma, napo wakaniambia kuwa sina shida.

Leon Ndugu Chancler

Tukakaa kama wiki mbili baada ya kutoka hsptl tukafanya tena, maumivu pale pale, nikaenda hospitali ingine tena kwa mara ya tatu, napo wakasema kuwa mimi sina tatizo lolote, wakampima hata na boyfriend wangu wakasema pia hana tatizo. Hadi sasa sijielewi, maana nakosa kitendo cha muhumu kuliko vyote, naumia sana na hasa wasi wasi wangu ni kwamba huyu boyfriend wangu atanikimbia, Napata taabu sana naombeni mnisaidie nifanye nini? Napenda sana ushauri wa watu na naamini utanisaidia sana, mara nyingi huwa napita ktk blog yako japo huwa sichangii, lakini sasa kuna tatizo lililonikuta, na sina ufumbuzi, nahitaji msaada wa mawazo sana.

Nilikuwa na girlfriend wangu tuliekuwa tukifanya kazi pamoja na tulikubaliana kuoana, badae nilimtafutia kazi yenye maslah mazuri zaidi kwa nafasi yake ofisi nyingine, basi akaacha pale na kwenda kule kwa nilipomuunganishia. Alieniunganisha katika ofisi hiyo ni rafiki yangu mimi anaefanya kazi pale. Nilimtambulisha mchumba wangu kwake, akamfahamu, na hata wakati tunapeleka mahali kwao, nae alitusindikiza, kinachonitatiza ni kwamba, huyu mchumba wangu amebadilika gafla sana, yani mapenzi yamekwisha kabisa, kitu kidogo tu anakasirika sana, inakuwa ugomvi mkubwa, wakati hakuwa hivyo hapo zamani, kuna mfanya kazi mwenzao mmoja pale aliwahi kunitumia sms na kusema kuwa mchumba wako sio mwaminifu anachukuliwa na rafiki yako.

Nilipomuuliza alikasirika sana na kukimbilia kunijibu kuwa kama nasikiliza watu basi tuachane, kwakuwa nilimpenda sana, niliamua kuwa mpole tu. Nikamtumia sms nikamwambia sawa, lakini juwa umenitesa sana, nami nikaamua kufata yangu, violet kila nilipokuwa nikikaa nilikuwa nikikumbuka mazuri mengi niliyomfanyia, muda niliopoteza kwake, bado kanilipa ubaya, da! Niliamua kuanza maisha mapya, sasa juma pili kanipigia simu anataka aonane na mimi, mimi sikutaka kumlipa ubaya, nilikubali, tukakutana pale Santina restaurant, anachokiomba kwangu, anataka turudiane nae.

Anasema toka ameniacha hana raha, ni mtu wa majonzi, mikosi na hana furaha hata kidogo, sasa hadi sasa sielewi cha kumjibu, ila mimi kwake mapenzi yamepungua sana. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24 na ninaishi na mchumba wangu.Muziki wa taarab unazidi kushika kasi kwa sasa hususani baada ya kuendelea kuzaliwa bendi kadhaa ambazo nimekuja kuzidisha ushindani ambao ulionekana kupotea kipindi cha kati nazo ni first class inayoongozwa na Prince amigo, five stone iliyo chini ya Juma mkima, halichachi classic ambayo inaongozwa na Amour magulu na nyingi nyinginezo.

Jina la khadija mbegu au ukipenda unaweza kumuita "khadija kais" ni ingizo jipya kabisa katika tasnia hii, msichana huyu mwembamba mrefu kiasi na asiye na majivuno naweza kusema ni miongoni mwa wale waliojaaliwa vipaji vya kuimba na mwenyezimungu na anajua kutumia kipaji chake haswa akiwa stejini, mtandao huu ulimtafuta ili kupata mawili matatu tokea kwake na kwa bahati tulimkuta nyumbani kwao kwa wazazi wake mbagala jijini dar es salaam maeneo ya "kwa dumbalume" na mahojiano yalikuwa yalikuwa kama ifuatavyo Pambe za taarab :- Habari yako khadija, sisi ni wandishi tokea mtandao bora wa taarab nchini tanzania, tunapenda kujua historia yako kimuziki maana wasomaji wetu wamekuwa wakihitaji sana kujua ni wapi umetokea maana wanaona umeibuka tu na kuanza kufahamika, ni wapi ulipoanzia mpaka kufikia hapo?.

Khadija mbegu :- Kwanza nianze kwa kuwashukuru kwa kunitafuta mpaka mmeweza kufika huku kwetu mbali kiasi hiki, mungu awabariki sana, mimi kiukweli sina muda mrefu katika muziki huu wa taarab, nilikuwa naupenda muziki huu toka zamani lakini sikuwaza kuwa ipo siku nitakuwa muimbaji kama hivi, ilikuwa siku moja nimeenda kusuka huku huku kwetu mbagala nikakutana na Salha abdallah yule aliekuwa mke wa hammer Q, sasa kuna wimbo ulikuwa ukiimbwa ktk redio nami nikawa naufuatisha aliponisikia akasema wewe msichana mbona unajua kuimba sana!

Pambe za taarab :- Ekhe vipi sasa ulifanikiwa kwenda huko wakaliwao au uliingia mitini kwa hofu? Khadija mbegu :- Mwenzangu we acha tu! Aliponisikia akasema uwezo wangu bado ila niwe naenda mazoezini kila siku nitakuwa vizuri maana kipaji ninacho.

Basi nikawa naenda mazoezini na siku zingine naenda mpaka katika show zao! Ila kuna siku sitoisahau tulikuwa tunafanya show pale magomeni maeneo ya mwembechai karibu na shekhe Yahya hussein, thabit alisema kuanzia siku hiyo nisipandishwe stejini wala nisiruhusiwe kuimba sababu sijui. Basi nikarudi nyumbani nikawa siendi tena nafanya issue zangu zingine tu hapa home.

Pambe za taarab :- Sasa ilikuwaje tena mpaka ukaibuka na kuanza kuwa maarufu wakati uliamua kukaa nyumbani khadija?. Khadija mbegu :- Nakumbuka siku moja nilikutana na kaka kais mussa kais akaniuliza unaimbia bendi gani kwa sasa? Nilikaa jahazi kolombwe kama miezi nane tu!

Pambe za taarab :- Wakati unaenda jahazi modern taarab uliwakuta wasanii gani wakongwe? Khadija mbegu :- Pale niliwakuta fatma Kasim, mwasiti kitoronto, Mishi zele, zubeda mlamali, Mossi suleiman na wengineo nakumbuka chipukizi nilikuwa peke yangu tu, nilipewa jukumu la kuimba nyimbo zote za fatma mcharuko ambae alikuwa amehamia yah tmk modern taarab, kiukweli nilizitendea haki nyimbo zile maana nilikuwa nikiziimba kama yeye mwenyewe haswaa!

Nilianza kutafutwa na wandishi kwa mahojiano na interview mbalimbali za redio nilifanya za nchini na nje ya nchi. Pambe za taarab :- Sawa sawa! Khadija mbegu :- Ahsante sana kwa swali zuri sana ambalo nami pia napenda wapenzi na wadau wangu wajue, mimi ni msanii na bado nipo ktk kujifunza kama ambavyo nilikutana na Sada nassor akanipa ushauri.

Nyimbo za zamani kama zilizoimbwa na akina fatma issa, malika, bi rukia na wengineo zina njia haswa za uimbaji na muimbaji bora wa taarab ni lazima aweze kuimba nyimbo zile, nami nilikuwa sizijui nikapelekwa gusagusa min bendi na kaka kais mussa kais ili nijifunze zaidi na nashukuru kwa sasa naziimba vizuri sana mpaka nimeshaanza kuwa na wapenzi pale gusagusa! Unajua watu siku zote wanapenda kuona mtu unaharibikiwa nasikia tayari wameanza kupandanisha maneno kwa viongozi wangu bila kujua nini kinaendelea na watu hao nawajua kwa majina sema sina muda wa kuwajibu nawaacha waendelee kuporojoka!.

Huyo ndie khadija mbegu au ukipenda muite khadija kais chipukizi mwenye ndoto ya kufika mbali kimafanikio ndani ya muziki huu wa taarab nchini tanzania, mtandao wa pambe za taarab tunamtakia mafanikio katika safari yake hiyo ya muziki na tunampa ushauri anatakiwa awe mvumilivu kwani sehemu yoyote yenye mafanikio mitihani ni kitu cha lazima inampasa apambane na amuombe mungu zaidi.

Home About Contact. Jumatano, 18 Machi Na kais Mussa kais. Hatimae ile hashtag ya narudi mjini aliyokuwa akiitumia mzee yusuph imesitishwa rasmi jana baada ya serikali ya jamhuri ya muungano kuzuia shughuli zote zenye mikusanyiko kwa mwezi mzima kuepuka maambukizi ya gonjwa la corona ambalo ni tishio kwa sasa ulimwenguni.

Mzee yusuph alitumia mitandao yake ya kijamii kuwahabarisha wadau wake kwamba kutokana na maagizo ya serikali kusitisha shughuli zote za mikusanyiko mbalimbali kwa siku 30 ili kuepusha maambukizi ya gonjwa hili baya nchini, nae amesitisha kwa muda ujio wake mjini mpaka hapo baadae. Lakini aliendelea kusema kuwa atawekeza nguvu zaidi studio kurekodi nyimbo zake kwahiyo yeyote ambae atakuwa tayari kudhamini gharama za kurekodi basi awasiliane nae milango ipo wazi kabisa, huyo ndio mzee yusuph ambae watu walikuwa wakisubiri kwa hamu ujio wake mjini kila mmoja akisema lake juu ya ujio wake mpya.Monday, April 29, 30 Comments.

Mtihani yarabb. Me nachukia hasa tabia hii mbaya ya kupigana hasa nyie wanaume kutufanya punching bag. Sidhani Kama mwenye mahaba hasa kwa mkewe anaweza kufanya ukatili kama huu. Hakuna cha mitihani wala nini, sheria zote ziko wazi, za dini haziruhusu mwanamke kunyanyaswa kiasi hiki na unaruhusiwa kutoa talaka sio kungojea upewe, unaenda kwa kadhi kama huyo msichana hapo hivyo alivyo anatoa talaka yake hapo hapo Na kiserikali kumpiga mtu ni kosa la jinai.

Kaeni hivyo hivyo Mungu nisaidie Mungu nisaidie hakusaidii ng'oo mpaka utake actions. Kamuiba baba yako mzazi? Kwa hiyo unataka baba yako alale na wewe? Huna hata haya nenda kamvulie chupi wewe basi. Tena leo unajiuguza yy hayupo anaogopa nini Salha kilio na mwenyewe usikubali kuwa mtumwa wa penzi watu wanaolewa hata mara dada. Hiyo ni ndoa tukumbuke!!

Kuna mapenzi katiyao ndo yaliwakutanisha kwanza,so ndugu,jamaa na marafiki nikumpa pole na si kuingilia saaaaana coz wanaodundana hivyo huwa hawaachani??? Mtakosa pakuficha sura zenu. Dida ndoa za kung'ang'ania hizo. Kaa kimya kesho wapo pamoja watakuchamba.

Pole mwanamke mwenzangu. Huyu ni mnyama kabisa kiukweli dida katika kitu nachukukia katika dunia hii nikuona mwanaume anampiga mkewe Huyu mwanamme muuaji au anamapepo,mpe pole sn huyu dada namuombea dua mungu amponye.

Jahazi Modern Band - Hata Bado Hujanuna (Official Video)

Nahisi huyo kaka ana pepo kwanza sura yake km mvuta bangi au amelogwa. Hapo ni ametambulishwa tu je angemfumania si angemuua kabisa. Kweli ndoa kwishinei. Siyo kila mwanaume ameumbwa kuwa mume, hili linajilazimisha tu kuwa mume lakini halimo kabisa. Unajua thamani ya mwanamke wewe?? Angekuwa kaka yangu tungemkamata tumgaragaze nachukia sana wanawaume wasiojua uthamani wa mwanmke.

Mwanamke kutunzwa k,kubembelezwa, mwanamke daima ni malkia kama we ni mwaume kwa nini usiende kupigana na wanaume wenzio?? Halafu we dada utaniudhi ukiendelea kuishi na hili lidude utasikia oo ndoa kuvumilia aahhhh hakuna kitabu cha dini kilichosema ndoa ni kupigwa bibi chukua chako anza wanaume wapo maelfu ufe kwa stress na vipigo kisa kutunza ndoa???

ndugu mume taarabu

Replies to “Ndugu mume taarabu”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *